Acts 9:22

22 aSauli akazidi kuwa hodari na kuwashangaza Wayahudi walioishi Dameski kwa kuthibitisha kuwa Yesu ndiye Kristo.
Kristo maana yake ni Masiya, yaani Aliyetiwa mafuta.


Copyright information for SwhNEN